Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea nakala ya kiswahili na kiingeraza ya kitabu cha nyayo za Obama kutoka mwandishi wa kitabu hicho Mzee Safari Ohumay kwenye siku ya Jumamosi Oct 4, 2014 kwenye mkutano wa DICOTA 2014 uliofanyika Durham, North Carolina.
SERIKALI YAIMARISHA UJUMUISHWAJI WA WATU WENYE ULEMAVU, YASISITIZA HAKI NA
FURSA SAWA
-
Na Mwandishi wetu.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kusisitiza dhamira
yake ya kuhakikisha watu wenye ulemavu wanashiriki kikamilifu ...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment