Tasnia ya muziki wa kizazi kipya sasa hivi inasubiria kwa
hamu album ya pamoja ya wasanii wakubwa wa hip hop ndani ya Afrika Mashariki,
album kati ya Chidi Benz na Fid Q.Sasa hivi Chidi Benz ana zaidi ya wiki
uraiani baada ya kukaa zaidi ya siku nne nyuma ya nondo, alisema kuwa bado
hawajaanza kurekodi lakini muda si mrefu wataanza kurekodi na anaamini itakuwa
ni bonge la albam mashabiki wakae tayari.
Ripoti ya Kina ya Matokeo Sensa na Makazi kutolewa Desemba mwaka huu
-
*Kamisaa wa Sensa asema ripoti inasubiliwa na wananchi.
Na Chalila Kibuda,Michuzi TV
OFISI ya Taifa ya Takwimu(NBS) imesema kuwa wananchi wanasubiri ripo...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment