Huduma hiyo inapatikana kupitia Whatsapp katika simu zote za
mkononi zenye uwezo wa kuitumia
Tick ya kijivu ina maana kuwa ujumbe umetumwa, tick mbili za
kijivu zina maana ujumbe umemfikia mlengwa, na tick mbili za blue zina maana
kuwa mlengwa ameusoma ujumbe uliotumwa
Ukibonyeza na kushikilia ujumbe uliotuma inatokea Pressing
and holding an individual message shows the Message Info option
Ukibofya utaona muda kamili ambao ujumbe huo ulisomwa
Maoni kuhusu mabadiliko hayo yamepokelewa tofauti katika
mitandao ya kijamii, wapo ambao hawajafurahishwa
Whatsapp haijatoa sababu za kufanya mabadiliko hayo ambayo
yamewakera baadhi ya watumiaji.
Kuanzia jana huduma hiyo inayomilikiwa na Facebook- itakuwa
ikionyesha tick mbili za rangi ya blue upande wa chini kulia katika kila ujumbe
unaotuma kubainisha kuwa umesomwa.
Na ukibofya ujumbe wenyewe utaona muda kamili ambao mlengwa
alifungua na kuusoma ujumbe husika.
No comments:
Post a Comment