Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 5, 2015

AJALI MBAYA YATOKEA ENEO LA KIBADA KIGAMBONI

 Magari mawili madogo yakiwa yamegongana eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam jana.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.


AJALI hii iliyoyahusisha magari mawili madogo ilitokea jana majira ya saa 11 jioni eneo la Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 CREDIT: gpl


No comments:

Post a Comment