Chid Benz alichukua nafasi hiyo kuwataarifu mashabiki wa
muziki kupitia ukurasa wa facebook na kuandika ‘Nakanusha habari za Nikki
mbishi kuacha mziki,nimeongea nae kama kaka na kumgusia mengi,najua amenielewa
na nimemwambia asikubali wale wanaomkubali waanze kukubali wengine.mimi
nimekumbana na vingi na watu weengi waliaminishwa kama nimeshushwa
kimziki,jimefanyiwa mengi ambayo kwa muda ule nsingeweza kuelezea kila mtu nini
kinaendelea,so if kikitokea kibaya kinatangazwa mpk kwenye taarifa za habari
mbona mziki hauchezwi?ningekua sina nguvu hio nisingesumbua watu kuniweka front
page..but bado nipo na nimekomaa.na naishi na naona wanaopewa kipaumbele na
najua bado mimi ni mimi.Iron
SINGIDA WAASWA KUTEKELEZA ZOEZI LA UBORESHAJI DAFTARI KWA WELEDI
-
*Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Dkt Zakia Mohamed Abubakar
leo ametembelea mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendesha Vifaa vya
Bay...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment