Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 5, 2015

HOT NEWSSSS::VIONGOZI NA WANACHAMA WANAODAIWA PANYA ROAD WAKAMATWA PICHA HIZI HAPA

VIONGOZI WA KUNDI LA PANYA ROADI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LA POLISI HUKO TANDALE, WATU HAWA NDIO VINARA WALIOSABABISHA JIJI KUTOKALIKA KWA MASAA KADHAA

NA KAROLI VINSENT
TAARIFA ambazo zimetufikia mda huu zinasema Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar Es Salaam limewakamata  jumla ya mbwa mwitu 510 ikiwa ni harakati za kufichua kundi hio kubwa na Panya road waliotikisa jiji La Dareslaam mapema hivi karibuni
KAMANDA WA POLISI KANDA MAALUM YA DARESALAAM, AKIONYESHA PICHA ZA VIONGOZI WA PANYA ROAD KATIKA KIKAO CHAKE NA WAANDISHI WA HABARI MAPEMA HII LEO, KATIKA KIKAO HIHO KOVA AMESEMA TAYARI JUMLA YA PANYA ROAD 510 WAMEKAMATWA PAMOJA NA VIONGOZI WAO.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, kamanda wa polisi kanda maalum ya Dareslaam amesema tayari jeshi hilo pia limefanikiwa kuwakamata viongozi muhimu wa kundi hilo ambao mara kibao wameonekana kusadia kufanyika kwa vurugu hizo,


Habari kamili itakujia hivi punde endelea kufuatilia  mtandao huu

No comments:

Post a Comment