Mashukiwa aliyedaiwa kupanga mashambulizi ya kigaidi nchini
kenya na tanzania aaga dunia
Mmoja wa watu waliopanga mashambuliz ya kigaidi kwenye
balozi za marekani nchini Kenya na Tanzania mwaka 1998 ameaga dunia kabla ya
kufikishwa kizimbani mjini New York.
Wakili wa Abu Anas al-Liby amesema kuwa afya ya mshukiwa
huyo ilizorota kwa haraka na inakisiwa aliaga dunia kutokana na maradhi ya
saratani ya ini.
Bwana al-Liby alikamatwa na vikosi maalum vya marekani
nchini libya mwaka 2013.
Alilalamika kuwa alikuwa ametekwa na kudhalilishwa
Amekana kuhusika kwenye mashambulizi ya Nairobi na Dar-es-
salam ambapo zaid ya watu 220,000 waliuawa.CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment