Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 7, 2015

PICHA 10 : MABAKI YA NDEGE YA AIRASIA QZ8501 YAANZA KUPATIKANA


  Picha zikionyesha mkia wa Ndege ya AirAsia QZ8501 iliyopotea na watu 162 Desemba 28, mwaka jana umepatikana leo katika Bahari ya Java, Indonesia. Ndege hiyo ilikuwa ikitokea Jiji la Surabaya nchini Indonesia kuelekea Singaporea. Mpaka sasa miili 40 imeopolewa kutoka baharini katika eneo ambalo ndege hiyo ilianguka.

 Kikosi cha uokoaji kikionesha baadhi ya mabaki ya viti vya ndege ya AirAsia QZ8501 iliyopotea na watu 162 .
 Kikosi cha uokoaji kikikusanya baadhi ya mabaki ya ndege ya AirAsia.
 


Kikosi cha uokoaji kikionesha baadhi ya vifaa vya AirAsia QZ8501 
CHANZO: DAILY MAIL

No comments:

Post a Comment