Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 6, 2015

PICHA 20::HIVI NDIVYO YAMOTO BAND WALIVYOZINDUA VIDEO YAO MPYA YA NITAKUPWELEPWETA


Siku ya Jumapili ya tarehe 4 January 2015 yamoto band walifanya uzinduzi wa video yao mpya inayokwenda kwa jina la Nitakupwelepweta ndani ya  new maisha club.

 Show ilikuwa balaaa na kama ilivyo kawaida yake Mlezi na mkurugenzi Mkuu wa kikundi hindo Said Fella aka Mkubwa Fella kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika haya machache kuwashukuru wadau waliohudhuria uzinduzi huo
"Shukran sana kwa wote mliojitokeza kuwasupport vijana wetu Yamoto_Band pale Maisha_Club Juzi... hakika bila nyinyi wasingeweza kufika hapa leo... tunaomba Nguvu na support yenu zaidi, ili wazidi kuleta Bururdani sawia...asante sana Chiddi Mapenzikwa mavazi haya!"
Vijana wakiwa kazini Picha zinajieleza wenyewe 
Mimi si size yako Nitakupwelepweta Bure...





Yaani kulikuwa hakuna kukaa chini


No comments:

Post a Comment