Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 6, 2015

PICHA 15:::WEMA SEPETU NA KAMPANI YAKE WALIVYOPAGAWISHA WAKAAZI WA DODOMA NA MOROGORO,WATEMBELEA KABURI LA MANGWEA

Siku ya mkesha wa mwaka mpya kulifanyika Bonge la Party ndani ya Ukumbi wa Matei lounge ambapo team nzuma ya Endless Fame walikinukisha pande hizo huku kukiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma waliohudhuria Party hiyo..
Yaaani  ilikuwa ni balaa tupu.

Wema sepetu akiwa na Erick Mshana Meneja wa Boss Ngasa Tz
Eti mnasemaje.....
Mama Kijacho akivishwa viatu na shoti wake 
 
NAKO MJI KASORO BAHARI MAMBO YALIKUWA KAMA HIVI
Hawa hapa mtu na shosti wake tayari kwa kuwasha moto jiji la Morogoro
Mirror
Madaam ndani ya New Maisha Club Moro
Ally Luna akiwa kazini
Petitman Wakuache akifanya yake ndani ya New Maisha Club Moro
Mirror with Team Ally luna ndani ya New Maisha Club Moro...

Team nzima ya Endeless Fame haikuweza kuondoka Morogoro bila ya kutembelea kaburi la marehemu Mangwair Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi Ameen 


No comments:

Post a Comment