Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 31, 2015

TAZAMA KIONJO CHA VIDEO MPYA YA MADEE-VUVULA


Msanii Madee kutoka kundi la TIP TOP Connection anatarajia kuzinduz video yake mpya tarehe 7 mwezi wa 2 mwaka huu pale Mikocheni kwenye ukumbi wa ESCAPE 1. Kabla Madee hajazindua video hii jana meneja wake Babu Tale alishare na wadau kipande cha video hii kwenye Instagram na kuleta comments nyingi za watu wakilalamika kuwa video hii kuna kipande cha mwanadada anayecheza jikoni kwamba ataifanya video hii isichezwe hapa BONGO.
Haya mdau nimeona na mimi niwawekee hapa ili kionjo hiki kisiwapite na nyie


No comments:

Post a Comment