Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, January 14, 2015

TAZAMA PICHA::DIAMOND ADHIBITISHA KUWA ZARI ANA MIMBA YAKE

 Uhusiano wa Diamond Platnumz na Zarinah Tlale a.k.a Zari The Boss Lady sasa unaelekea kwenye level nyingine. Diamond ameweka wazi kuwa anatarajia kuwa baba.
 Kupitia Instagram Diamond alipost picha ya ‘ultra sound’ inayoonesha kiumbe kilichoko tumboni mwa mama na kuandika: “I can not wait to have you on my hand”. Hata hivyo aliifuta post hiyo baada ya dakika mbili.

Kwa picha na maneno hayo, Platnumz amethibitisha kuwa yeye na Zari wanatarajia kupata mtoto.
Zari tayari ni mama wa watoto watatu wa kiume aliowapata kwenye uhusiano wake uliopita.

No comments:

Post a Comment