Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, January 11, 2015

Tazama Picha:::Huu ndo Ulinzi Alionao Senetor wa Nairobi Mike Sonko

 Senetor wa Nairobi anayejulikana kama Mike Sonko ameingia tena kwenye headlines na sasa ni juu ya ulinzi alionao. Katika siku za karibu nilikuletea picha ya gari lake aina ya V8 lenye rangi ya gold lakin leo acha nikuletee hizi picha za ulinzi wake ulivyo. Siku tatu za hivi karibuni Senetor huyo alihudhuria kwenye moja ya msiba jijini Nairobi lakin alipotoa utafikiri ni rais ametua kutoka na idadi ya walinzi alionao.
mike sonko Siku hiyo alikuja na gari kama mbili moja ikiwa imembebe yeye na nyingin ambayo ndio V8 ya gold nyingine ilikuwa Hummer nyeusi ilikuwa imemebaba walinzi wake walikuwa na silaha kama wanajeshi wanaokwenda vitani. Kweli pesa sabauni ya roho kama unataka kufa mapema jaribu kumgusa Senetor uone


No comments:

Post a Comment