Msanii wa bongo flava Seif Shabani "Matonya" amefungua
mwaka 2015 kwa aibu kubwa baada ya picha kuvuja kwenye mitandao ikimwonyesha
akiwa amelewa chakari hajitambui, Picha hiyo inasemekana ilipigwa jana maeneo
ya Kunduchi jijini dar es salaam, na uvumi ukaenea eti Matonya amerudisha
namba, nilipojaribu kucheki na Matonya sikuweza kumpata ikabidi nicheki na
jirani yake ambaye pia ni Star wa Bongo flava "Richy One" yeye
akatoboa kuwa
jamaa ni mzima wa afya na aliongea nae asubuhi ya leo ila anahisi
labda watu wabaya watakua walimuongezea kilevi kingine kwenye Pombe yake, ama
kweli Pombe sio Chai....
No comments:
Post a Comment