Mario Balotelli ni mchezaji wa Liverpool alipost picha hii
kwenye page yake ya Instagram akiangalia timu yake kupitia tv akiwa nyumbani.
Liverpool na Chelsea walipepetana kugombea kikombe cha Capital One na timu hizo
zilitoshana nguvu kwa kufungana goli moja kwa moja Balotelli akuweza kuwepo
uwanjani kwa vile ni mgonjwa
TANZANIA YAHODHI KONGAMANO LA CAH-SSA 2026
-
Wataalamu wa afya, watafiti, viongozi wa vijana na wadau mbalimbali wa
maendeleo kutoka ndani na nje ya Afrika wamekutana jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya...
32 minutes ago


No comments:
Post a Comment