PAK FA ina rada maalum ya kivita inayosaidia kutazama muelekeo na kuchunguza umbali mrefu kabla ya kufika eneo husika, licha ya uwezo wa kubeba silaha nyingine pia ina uwezo wa kubeba makombora makubwa sita ikiwa ni pamoja na kutupa toka hewani pamoja na ardhini.
PAK kwa mara iliruka hewani kwa dakika 47 January 29, 2010 na baada ya hapo ilifanyiwa majaribio zaidi ya 450 mwishoni mwa mwaka 2013.
Russia inatarajia kutengeneza ndege kama hizo 400 mpaka 450 kufikia mwaka 2020 au 20140 katika mradi ambao inashirikiana na India iliyochangia kiasi cha dola bilioni 6 ili kufanikisha mpango huo.

Ndege hii ina kasi sana na ina sehemu kumi ambazo zinawekwa
mabomu ili kushambulia, pia ina uwezo wa kushambulia hewani kwa hewani ikiwa na
maana kutungua ndege nyingine hewani na pia kushambulia toka hewani kwenda
ardhini.
Ndege hii ilitengenezwa maalum kushambulia ikiwa karibu na
uwanja wa vita si kutoka mbali pia inabeba makombara.
Ndege hii imeshawahi kushambulia Afghanistan mwaka
1979-1989, vita ya Chechnya na sasa hivi inatumika katika mgogoro wa Ukraine.
Su-25 FROGFOOT. Picha|digitalcombatsimulator.

Ndege hii ilitengenezwa maalum kwa kurusha mabomu ya nyuklia lakini imekuwa ni vigumu kwa mabomu hayo kutumika kutokaqna na mpango wa Marekani wa kupinga matumizi ya mabomu hayo hatari Duniani.
Kutokana na kasi yake, ndege hii ilitumika kwenye vita ya
baridi kufanya doria kaskazini mwa bahari ya Atlantic pamoja na kuongoza vikosi
vya majeshi ya maji.
Ndege hii kwasasa ipo katika matengenezo ya kuiboresha zaidi
kwasababu ilitengenezwa miaka 60 iliyopita.
Tu-160 BLACKJACK STRATEGIC BOMBER
Ndege hii ilikuwa ni toleo la mwisho mwaka 1980-1992 la
Soviet Union kabla haijasambaratika na Russia kumiliki zana nyingi za kivita.
Ndege hii ina uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za kivita
usiku katika hali zote za hewa huku ikiwa imebeba mzigo mkubwa wa mabomu ya
nyuklia pamoja na makombora yenye uzito mkubwa.
Ndege hii ina kasi ya kilomita 2,000 kwa saa pamoja na
kutembea umbali wa kilomita 14,000 bila kujazwa mafuta kwa mara nyingine.
Ndege hii pia kutokana na muundo wake ina uwezo wa kugundua
kombora lililoelekezwa kwake na kukwepa kabla halijaleta madhara.
No comments:
Post a Comment