TAZAMA PICHA 8 ZA AMBER ROSE ALIPOTUA NIGERIA KAMA MC KWENYE SHEREHE YA KUZALIWA D' BANJ
‘Kokomaster’, D’Banj mtu mkubwa kwenye muziki
anayeiwakilisha Nigeria na Afrika kwenye ramani ya dunia hakika anajivunia
mengi kwenye safari yake, mafanikio ya kufanya kazi na lebo ya GOOD MUSIC ya
Kanye West ni zawadi kubwa kwake kwenye hii miaka kumi.
Juzi January 31 kafanya
party Lagos, Nigeria, staa mwanamitindo kutoka Marekani ambaye alikuwa
mpenzi wa Rapper Wiz Khalifa, Amber Rose unambiwa alishuka zake Lagos Naija,
kumpa shavu Banj kwenye celebration ya miaka 10, Amber alikuwa MC kwenye event
hiyo.
Amber Rose na D’Banj muda mfupi baada ya Amber kuwasili Nigeria.
Amber Rose baada ya kuwasili Nigeria.
Shaydee, Banky W, Ifeanyi Nwune ni baadhi ya mastaa
waliojitokeza kwenye party hiyo.
Amber Rose na D’Banj, mbele zinaonekana baadhi ya Tuzo
alizowahi kushinda staa huyo.
Kwenye stage Amber
Rose hapa alijaribu kucheza Shoki wimbo wa Kesh, staa wa Nigeria
MHE. PINDA ,SEOM WAKUTANA NA MACHIFU WA BOTSWANA
-
Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini
mwa Afrika (SADC-SEOM) Mhe. Mizengo Pinda na ujumbe wake wa SEOM wamekutana
na k...
Burudani : BSS Msimu wa 15 Wazinduliwa Rasmi
-
SHINDANO la kusaka Vipaji Tanzania Bongo Star Search 'BSS' misimu wa kumi
na tano umezinduliwa rasmi kwa sasa ni Bongo Star Search African wanavuka
boda...
RAIS MAGUFULI NA HISTORIA ISIYOFUTIKA
-
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius
Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhur...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment