Kumekuwa na wimbi la picha zikizagaa mitandaoni zikionyesha kwa namna tofauti jinsi pesa zinavyotumiwa kwa matumizi ambayo sio halali kama inavyotakiwa,Sasa Je pesa ya Nchi kutumika kwa namna hii ni sawa?
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
11 hours ago



No comments:
Post a Comment