Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 24, 2015

PICHA::::GARI LATEMBEA BILA YA DEREVA MJINI MOSHI



 
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiashangaa lori la mafuta lilotembea bila ya kuwa na dereva likitoka kituo cha mafuta cha Puma lilipokuwa limepaki kwa ajili ya kushusha mafuta, tukio hilo limetokea mjini Moshi jirani na ofisi za TTCL.
Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa lori hilo baada ya kukata kona ya ghafla ambayo ilisaidia madhara zaidi 

yasitokee baada ya tanki kukata na kurudi upande wa barabarani na kisha kusimama.

CHANZO: MTAA KWA MTAA BLOG

No comments:

Post a Comment