Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 5, 2015

TAZAMA PICHA 10::MAPACHA 6 WALIOZALIWA MWAKA 1983 NCHINI UINGEREZA SASA NI WAKUBWA NA WAMENZA KUWA NA FAMILIA ZAO

 Bwana Na Bibi Grahan Walton wakiwa na mabinti wao sita pamoja na mjukuu wao
 Mapacha hao wa kike wakati wana miaka mitano  (Kushoto kwenda kilia) Luci, Ruth, Jennie, Hannah, Kate and Sarah
 Wazazi wa mapacha hao wakiwa na watoto wao mapacha mwaka 1983 walipozaliwa
 Mapacha sita wakiwa na umri wa miaka 11 baada ya kuanza shule ya sekondari
 Familia ikiwa pamoja baada ya kutoka chakula cha usiku mwaka 1989






No comments:

Post a Comment