Straika Mohammed Traore wa El Merreikh ya Sudan.
WAKATI fedha ndmwingine iyo kila kitu kwani Azam FC imeipiga bao Simb ka kwaumsajili straika Mohammed Traore wa El Merreikh ya Sudan aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa njia yoyote ile.Simba sasa inataka kusajili straika mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu na Traore raia wa Mali ndiye aliyeonekana anafaa lakini Azam imewawahi kwa kumsajili ili kujiweka vizuri.

Straika huyo mwenye miaka 26, aliwahi kuzichezea
klabu kubwa kama Ismaily ya Misri na baadaye Al-Hilal ya Sudan kabla ya kutua El Mereikh msimu wa 2013/2014.Simba ilifanya mazungumzo na Traore, kwa mara ya kwanza alipokuja nchini kucheza dhidi ya Azam katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mkataba wa Traore na El Merreikh unaisha mwezi ujao.

Mmoja wa mabosi wa Simba katika kamati ya usajili alisema; “Tulikuwa
tumeshamaliza kila kitu na Traore na tulitegemea tungekuwa naye msimu
ujao ili kuimarisha kikosi chetu.”
Rafiki wa karibu wa Traore kutoka Sudan, amelithibitishia Traore
kusaini Azam kwa kusema; “Traore amesaini Azam na hana mpango wa kubaki
El Merreikh.”Alipotafutwa Katibu Mkuu wa Azam, Idrisa Nassoro, simu yake
ya mkononi iliita bila ya kupokelewa.
Hata alipotafutwa Ofisa Habari wa timu, Jaffer Idd hiyo kuzungumzia
hilo alisema; “Hakuna taarifa kama hizo za kumsjili Traore, sasa
tumeweka nguvu katika ligi.”
No comments:
Post a Comment