Mi na bro Profesa Jay tulitoa wimbo unaitwa #DriveSlow
tukiongelea matatizo ya barabarani na hizi ajali za kila kukicha.Lakini Redio
zetu hazikuupa kipaumbele kabisa kwani tuliamini wimbo huo ungesikika ungefanya
madereva wastuke kidogo pale
wanapo usikia.Matokeo yake Redio Zinapiga miziki
ya kuabudu mahaba na Pombe na starehe za kijinga.Wakati siku hizi kila ukiamka
utaskia ajali imeuwa tena sio moja wala mbili.Tuamke sasa #DriveSlowHomie
No comments:
Post a Comment