Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, April 21, 2015

NALIMI MAYUNGA AIBUKA MSHINDI WA AIRTEL TRACE MUSIC STARS AFRIKA

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kumtangaza mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, Mayunga Nalimi (katikati), katika tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia),
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akimkabidhi tuzo mwimbaji Mayunga Nalimi baada ya kutangazwa 

 
kuwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, katika tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia), ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso.

 Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Godfrey Mungereza (kushoto), akimpongeza mwimbaji Mayunga Nalimi baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa Airtel Trace Music Stars Afrika, katika
tafrija iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (kulia), ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso.

No comments:

Post a Comment