Mchezaji wa zamani wa klabu ya Barcelona Patrick Kluivert
akiwaongoza wachezaji wenzake akiwepo Simao Sabrosa muda mfupi mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA)
Wachezaji wa Barcelona wakielekea upande wa watu mashuhuri katika uwanja wa ndege wa Kiamtaifa wa Kilimanjaro(KIA)
Mchezaji Luis Garcia(kulia) akiwasili katika uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Kilimanjaro .kushoto ni mratibu wa safari ya wachezaji wa
zamani wa klabu ya Barcelona Royco Garcia
Wachezaji wa zamamni wa klabu ya Barcelona wakijadiliana
jambo katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro muda mfupi mara baada ya kuwasili
na ndege ya shirika la ndege la KLM.
Simao Sabrosa mchezaji wa zamani wa klabu ya Barceona akiwa
katika eneo la mapumziko katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.
![]() |
Mchezaji Patrick Kluivert akizingumza kwa simu muda mfupi
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA
jana usiku .
|
No comments:
Post a Comment