Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 18, 2015

WATU WANAODAIWA MAJAMBAZI SUGU WAKAMATWA JIJINI DAR WAKITAKA KUPORA

Majambazi hao wakiwa wametiwa pingu baada ya kukamatwa na jeshi laPolisi jijini Dar. 
Wananchi wakiwa eneo la Benki ya NMB Sinza-Mori, Dar wakifuatilia tukio hilo. 
Polisi jijini Dar wamewakamata watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa katika jaribio la kuiba pesa Kwa kudhulumu maeneo Sinza-Mori, Dar es Salaam.Tukio hilo limetokea mchana wa leo katika 


sheli ya Big-Bon Sinza-Mori jijini Dar ambapo majambazi hao walikamatwa wakiwa katika harakati za kutekeleza tukio hilo.Majambazi hao baada ya kukamatwa wamepelekwa katika kituo cha Polisi Mabatini kilichopo Kijitonyama jijini Dar.

No comments:

Post a Comment