Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, May 18, 2015

PICHA 7::Gavana wa Jimbo la Edo Nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 63, Adam Oshiomhole amefunga ndoa na Binti mrembo mwenye miaka 25.

 Gavana Adam Oshiomhole akiweka sahihi kwenye nyaraka za kudhibitusha kufunga ndoa
 Adam Oshiomhole Akiwa na Mkewe mara baada ya kufunga ndoa
 Wazazi wa Adam Oshiomhole wakiwa kwenye Harusi hiyo
 Viongozi mbali mbali wakipata picha ya pamoja kwenye harusi ya Gavana Adam Oshiomhol


No comments:

Post a Comment