Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 25, 2015

Picha,Floyd Mayweather anunua gari moja katika mawili pekee yaliyotengenezwa duniani.may w
Bondia Floyd Mayweather ametumia pound milioni 3 kununua gari laki pekee duniani. Mpaka sasa magari haya wametengenezwa mawili tu na yeye anamiliki moja.
Floyd aka ‘Money Man’ ameweka picha hii mtandaoni akiwa na gari ya rangi ya silver ya kampuni ya Koenigsegg. Gari hii inaitwa CCXR Trevita.
Picha iliambatana na ujumbe uliosema  ‘My new 4.8 million dollar car, Koenigsegg made only two Trevita’s for the world and this is No.2 of 2.”
Gari hili litakuwa miongoni mwa magari yake ya kifahari yenye thamani ya zaidi ya dola pound milioni 35 ambazo ni dola za kimarekani milioni 54m. Floyd ana Ferrari 3,  Porsche 1, Lamborghini 1,Bugattis 3 na ndege yenye thamani ya dola milioni $47 inayoitwa Gulfstream V.
may wayher
floyd-mayweather

No comments:

Post a Comment