Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business Council Award) , Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo hiyo usiku wa jana, Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas, Jimbo la Texas. (Picha na Freddy Maro).
WAZIRI WA ULINZI AIPONGEZA JKT NA JWTZ KUIMARISHA ULINZI NA USALAMA NCHINI
-
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho,
amewapongeza viongozi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) na Jeshi la Ulinzi
la Wananc...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment