Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 14, 2015

LEMBELI NA MUKYA WANUSURIKA KIFO MARA BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA

 
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kahama kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Mh James Lembeli na Joyce Mukya wanusurika kifo mara baada ya gari waliokuwa wakitumia kusafiria kutoka Simanjiro kuelekea Arusha kupata ajali na kupinduka.Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna hawakuumia lakini tutaendelea kuwajuza kadri habari inavyotufikia.Picha na Mdau Massawe

No comments:

Post a Comment