Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, October 14, 2015

PICHA: LOWASSA AFANYA MKUTANO GEITA JIMBO LA BUSANDA, ASIMIKWA UCHIFU WA WASUKUMA

 
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni leo Geita
Wazee wamsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa Uchifu wa Wasukuma 


No comments:

Post a Comment