Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, October 19, 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BANDARI YA BAGAMOYO

 Wakazi wa mji wa Bagamoyo wakiwa katika uzinduzi wa uwekazi wa jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Ujenzi huo unajengwa kwa ushirikiano na serikli za China na Oman ambapo utatumia dola bilioni 10 karibu na trioni 21. (Picha na Francis Dande)
 Ujumbe kutoka Oman ukiongozwa na Waziri wa Uchukuzi wa nchi hiyo (kulia).
Mabalozi waliowakilsha nchi zao. 
 Wasanii wakitumbuiza.
 Burudani zikiendelea.

 
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Kusaini mikataba.
  Wakionyesha mikataba iliyosainiwa.

Rais Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa Oman.
 Rais Jakaya Kikwete akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari mpya katika Kijiji cha Mbegani Bagamoyo, Bandari hiyo inajengwa kwa ushirikiano wa serikali za China na Oman. 
 Rais Jakaya Kikwete akizindua jiwe la msingi la ujenzi wa Bandari mpya katika Kijiji cha Mbegani Bagamoyo, Bandari hiyo inajengwa kwa ushirikiano na serikali ya China na Oman. 
Rais Jakaya Kikwete (katikati), Makamu wa Rais wa China Merchants Group (kushoto) na Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Oman wakichangaya udongo kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.

No comments:

Post a Comment