Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, November 3, 2015

MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.Mabaki ya Ndege aina ya Airbus A-321 iliyoanguka siku ya Jumamosi ikitokea Mji wa Sharm el-Sheikh ikielekea mji wa St. Petersburg nchini Urusi.

No comments:

Post a Comment