Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, November 18, 2015

TAZAMA VIDEO NAPE ALIVYOLIPUKA BUNGENI JANA


Katika kipindi cha kuuliza maswali kwa wagombea nafasi za Upika,Mbunge mpya wa jimbo la Mtama Nape Nnauye aliyeuliza swali lilotafsiriwa na wabunge kuwa ni la kejeli na vijembe hali iliyomfanya mwenyekiti wa muda wa kikao Adrew Chenge kusema kuwa Swali la NAPE siyo Swali.Hata Ole Medeye wa chamdema alipopata nafasi alisema kuwa kinachomsumbua Nape ni utoto!

Hali ilikuwa hivi:


Nape: Nakushukuru, naitwa Nape mbunge wa Mtama. Kumbukumbu zinaonyesha ulishawahi kutolewa na ndugu Lema una tuhuma za ubaguzi, sijui tabia hizo umeshaacha!

No comments:

Post a Comment