Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nnne , Mama Salma Kikwete katika hafla fupi iliyoyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjiniDodoma baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 2015.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kassim wakizungumza na baadhi ya wabunge na waalikwa waliohudhuria hafla fupi iliyofanyika kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma baada ya Rais John Magufuli kuzindua Bunge Novemba 20, 2015.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Mufindi, Cosato Chumi katika hafla fupi ya kuzindua bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Novemba 20, 2015. Katkati ni Mbunge wa ROrya Lameck Airo.
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai (kushoto) , Mkewe Mary (wapili kushoto) na Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashilila (wapili kulia) katika hafla ya kuzindua Bunge iliyofanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 20, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment