Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 19, 2015

PICHA 4::::::BASI LA BEST LINE NA HOOD YAPATA AJALI INYARA MBEYA
Ajli nyingine imetokea leo asubuhi mkoani Mbeya eneo la inyara ikuhusisha Lori na mabasi mawili ya Hood na Best line,Ajali hiyo imesababisha majeruhi kadhaa na hakuna kifo kilicholipotiwa.Tutakujuza zaidi

No comments:

Post a Comment