Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, December 1, 2015

TAZAMA PICHA NA VIDEO:::POLISI NA TRA WAKAMATA MAKONTENA 9 ENEO LA MBEZI TANKI BOVU

Polisi wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na TRA wanayashikilia makontena 9 wanayoyatilia mashaka kuwa huenda yalikuwa yanatoroshwa Tanki Bovu, Mbezi Beach.
Madereva waliokuwa wanasafirisha makontena hayo baada ya kuhojiwa wamesema hawajui wanakoyapeleka na hawana nyaraka muhimu za kuonyesha kilichopo ndani.

No comments:

Post a Comment