Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, January 21, 2016

WAZIRI WA ELIMU AFUTA MFUMO WA KUKOKOTOA MATOKEO KWA MTINDO WA GPA


Waziri wa elimu Dr Joyce Ndalichako afuta rasmi mfumo wa kukokotoa matokeo kwa mtindo wa GPA. Aagiza matokeo ya kidato cha 4 na 6 yatolewe kwa mfumo wa madaraja (divisions) kama ilivyokuwa hapo zamani.


Adai kuwa amefikia uamuzi huo baada ya Baraza la Mitihani (NECTA) kushindwa kutoa utetezi wa kisayansi juu ya sababu zilizopelekea wao kubadili mfumo wa upangaji madaraja ya ufaulu kwa wanafunzi.


Source.Radio one.

No comments:

Post a Comment