Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 11, 2016

ABIRIA WANUSURIKA KUTEKWA TABORA.

Picha Si halisi

Abiria wa basi la Saratoga liendalo Kigoma wamenusurika kutekwa usiku wa Kuamkia Leo, baada ya Jeshi la Polisi kufanikiwa kuzuia uhalifu huo na majambazi kutelekeza gari lao na kukimbia huko katika eneo la Ilolanguru Tabora. Hata Hivyo Polisi Mkoani humo imelalamikia tabia ya baadhi ya madereva ambao wamekuwa wakiukaji wa kubwa wa amri za askari, Mara nyingi imekuwa ugomvi na askari wetu usiku wakisimamishwa usiku kuzuiliwa kuendelea na safari 


 
wanakaidi, ambapo askari wanakesha kwa ajili ya usalama wao. Hivyo ushauri wangu madereva wote mnapofika centre yoyote usiku kama muda umeenda jitahidi mpate taarifa polisi ya barabara unakoenda. Ikiwezekana omba eskoti kuliko kwenda tu.Chanzo RSA

No comments:

Post a Comment