Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 16, 2016

HUZUNI SANA:::PICHA 10 ZIKIONYESHA KIJANA MDOGO ALIYETELEKEZWA NCHINI NIGERIA KWA TUHUMA ZA UCHAWI

 Kikundi Cha kujitolea Nchini Nigeria kutoka Danish wamemsaidia kijana mdogo wa Kiume ambaye alikuwa ametelekezwa na Familia yake kwa takribani miezi 8 kwa Tuhuma za kwamba ni mchawi.Kikundi hicho cha misaada kilimchukua kijana huyo na kumpeleka hospitali nakuanza kupatiwa matibabu,na hatimaye kuanza kumlea.





Chanzo Daily Mail

No comments:

Post a Comment