Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, February 24, 2016

RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI MHE JUDITH KANGOMA-KAPIJIMPANGA IKULU


Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe Judith Kangoma-kapijimpanga akimsalimia kwa unyenyekevu wa wanawake wa Kiafrika Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam  Jumanne February 23, 2016.

No comments:

Post a Comment