Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, February 11, 2016

TAZAMA PICHA ZA TAHARUKI ILIYOTOKEA LEO KWENYE KIVUKO CHA MV KIGAMBONI


 Baadhi ya abiria waliokuwa wamepanda kivuko cha Mv  Kigamboni wakiwa wamekumbwa na butwaa kufuatia kivuko hicho walichokuwa wamepanda kukatika sehemu ya kushukia abiria na Magari na kupelekea hofu kubwa miongoni mwao,kama uonavyo pichani baadhi ya abiria hao wakijaribu kujinusuru na hali hiyo,kwani kivuko hicho kilikuwa kimesheheni abiria lukuki
 Abiria wakipewa maelekezo namna ya kushuka kwenye kivuko hicho.

 

No comments:

Post a Comment