Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, March 11, 2016

HAPPY BIRTH DAY MWANANZENGO WA 102.5 LAKE FM, RAHA YA ROCK CITY.‏

Mmoja wa Wananzengo kutoka 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City akisoma ujumbe ulioandikwa katika kadi iliyoandaliwa na Wananzengo wenzake wa 102.5 Lake Fm Mwanza, Raha ya Rock City, Radio ya Wananzengo.

Jana Machi 10,2016 ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mkurugenzi wa 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City, Doreen Noni (anaesoma kadi).

Ilikuwa njema sana baada ya Wananzengo wa 102.5 Lake Fm, kumfanyia Suprise ya tafrija fupi ambayo ilifanyika katika Mjengo wa Wananzengo 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City.

Mwananzengo Doreen Noni ni Mkurugenzi wa 102.5 Lake Fm ambayo ni Radio Mpya ya Wananzengo Jijini Mwanza inayotarajia kuanza kuruka hewani rasmi kuanzia jumatatu ijayo Machi 14,2016.
Wananzengo wakiimba Happy Birth Day Song kwa ajili ya Mwanzanzengo mwenzao
 
Wananzengo wa 102.5 Lake Fm wakipata Msosi
Wananzengo wakipata Msosi
#WananzengoWa102.5LakeFm, #RahaYaRockCity, #RadioYaWananzengo, wanakupenda sana na Wanakutakia Maisha Mema #Mkurugenzi #Mwananzengo #Doreen Noni.
Jana Machi 10,2016 ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mkurugenzi wa 102.5 Lake Fm, Raha ya Rock City, Radio ya Wananzengo, Doreen Noni.

No comments:

Post a Comment