Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na waandishi wa habari katika hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam kuelezea maendeleo ya afya yake. Amesema anaendelea vyema baada ya jana kuugua ghafla na kulazwa katika hospitali hiyo. Amewashukuru wananchi ndani na nje ya nchi kwa kuonesha mapenzi na mashirikiano makubwa. Anatarajiwa kutoka hospitalini hapo leo jioni (Picha na Salmin Said, OMKR)
WAZIRI SANGU ATETA NA VIONGOZI WA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE (CPCT)
-
Na: OWM – KAM, Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Mheshimiwa
Deus Clement Sangu(Mb.), amekutana na kufanya mazu...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment