Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 2, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AMLAKI NA RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na  akifafanua jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) mara baada ya  kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini  Arusha Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani kulia ni Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni.

Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni akiongea na wanahabari mara baada  ya kukutana na kufanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini  Arusha  Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda  kuwasili jijini humo 

 
kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa  nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.Pichani shoto ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisikiliza kwa makini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni wakifanya mazungumzo kwenye Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha  Machi 1, 2016 mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo kuhudhuria Mkutano wa 17 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment