Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 2, 2016

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI MWANZA


mul1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza , Magesa Mulongo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mul2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Mwanza, Anthony Diallo baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mul3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Mwanza baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 
mul4
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabulla baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mul5
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimu wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo. (picha na Ofisi ys Waziri Mkuu)
mul6
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama ngoma ya nyoka baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo, Magessa Mulongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
mul8
Wanakwaya wa Makongoro Vijana wakiimba wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza Machi 1, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment