Bendi ya Mashujaa band ambayo kwa sasa
ni kama timu ya man city imewatambulisha wanamuziki wake wapya wawili
kutoka Extra Bongo na African Stars twanga pepeta,wanamuziki hao ni Rapa
Saulo John Ferguson na Mcd.Hakika utambulisho huo ulikuwa mzuri sana
ukizingatia kwa sasa rapa ferguson ndio anatisha kwa rap nzuri za
kiswahili.
Mpiga Tumba MCD akiwajibika kazini
Kazi ikiendelea
No comments:
Post a Comment