Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo,Said Ali Mbarouk( mwenye
suti nyeusi) akipata maelezo ya studio ambayo kwa sasa imo katika
matengezo kutoka kwa fundi mkuu shirika la utangazaji Zanzibar,Ali Aboud
(wa kwanza kulia) alipotembelea shirika hilo leo(Picha na Yussuf
Sima,MAELEZO Zanzibar)
Mkurugenzi Mkuu wa ZBC,Hassan Mitawi akimweleza jambo Waziri wa Habari
Utamaduni Utalii na Michezo,Said Ali Mbarouk( wa kwanza kulia) wakati
alkipotembelea chumba cha habari cha shirika hilo,Raha leo Mjini Zanzibar
ikiwa sehemu ya ziara yake kwa vyombo vya habari vya Serikali.(Picha na
Yussuf Simai,Maelezo Zanzibar)
No comments:
Post a Comment