Katika
tukio lingine katika club baada ya lile la Chriss Brown na Drake eti
inasemekana walileteana walirushiana chupa club na kupeleka Chriss Brown
kuumia kidevu, huko Hoston watu sita walipigwa risasi katika Southwest
Strip NightClub na watatu kufa papo hapo kati ya majeruhi alikuwepo
rapper kutoka Houston Trae Tha Truth. Habari kutoka MvFox Houston zinasema wawili kati ya hao waliopigwa risasi walikuwepo wavulana wawili na mwanamke mmoja.
Exim Bank yazidi kuwekeza katika maendeleo ya jamii Zanzibar
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Zanzibar. Benki ya Exim Tanzania imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya
kuchangia maendeleo ya jamii kupitia mpango wake wa Uwajibi...
1 day ago


No comments:
Post a Comment