Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, July 27, 2012

Chukua Tahadhari::::Imebainika kuwa zaidi ya watu milioni 4 dunia kote wanakufa kwa kisukari


 wanakufa kwa maradhi yasabaishiwayo na ugonjwa wa Kisukari huku watu wapatao
 milioni 360 wanaugua ugojwa wa kisukari Dunia kote hii ni kwa mujibu wa takwimu
 ya wanasayansi ya mwaka 2011.

  Hayo yamebainishwa hii leo na Mkuu wa Wilaya ya Arusha  Bwana John
Mogela wakati akifungua rasmi
 upimaji wa Kisukari kwa wakazi wa jiji la Arusha iliyoandaliwa na Hospitali ya
 AICC kwa kushirikiana na Madokta wa kisukari kutoka mkoani Kilimanjaro sambamba
 na wataalamu wa kimataifa.

  Amsema kuwa upimaji huo ni muhimu sana kwa wakazi wa jiji
 la  Arusha kwa maana wataweza kujitambua
 hali za afya zao wakazi wa jiji la Arusha
 kwa maana huduma za upimaji wa Kiusukari na utibuji wake ni gharama
 kubwa sana.

 Aidha amewataka wakazi wa jiji la Arusha kubadilisha mfumo
 wa maisha kwa kufanya mazoezi kuacha uvutaji wa sigara pamoja na unywaji pombe
 ambapo ni vitu vinavyochangia kwa kiasi kiukubwa maradhi ya kisukari.
Kwa upande wake mkurugenzi wa AICC bwana Kaaya amesema kuwa  upimaji
huo umeletwa kutokana na hao AICC
 kuona kuwa kulikuwa na mkutana wa wataalamu wa Kisukari hapa jijini na kuona
 hiyo ndio fursa nzuri ya kuwatumia wataalamu hao katika utoaji  huo
wa bure upimaji huo..
na full shangwe

No comments:

Post a Comment