Mwana
dadiva anaeendisha kipindi cha ala za roho ndani ya the people's
station Diva loveness love jana amefunguka alipokuwa akifanya kipindi
cha xxl na mtu mzima Adam Mchomvu kuwa kwa yeyote atakae jitokeza kumuoa
basi lazima awe na si chini ya shilingi millioni 500..sikiliza
interview hapa chini
TCRA, TAMWA na JAB Wahamasisha Uwasilishaji wa Kazi za Samia Kalamu
-
Dar es Salaam, Juni 17, 2026 – Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa
kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) na
Bod...
1 hour ago


No comments:
Post a Comment